Matendo 23:22
Matendo 23:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.
Shirikisha
Soma Matendo 23Matendo 23:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniambia haya.
Shirikisha
Soma Matendo 23