Matendo 22:10
Matendo 22:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mimi nikauliza, ‘Nifanye nini Bwana?’ Naye Bwana akaniambia, ‘Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.’
Shirikisha
Soma Matendo 22Matendo 22:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uingie Dameski, na huko utaambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa uyafanye.
Shirikisha
Soma Matendo 22