Matendo 21:8
Matendo 21:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho yake tuliondoka tukaenda Kaisarea. Huko tulikwenda nyumbani kwa mhubiri Filipo. Yeye alikuwa mmoja wa wale saba waliochaguliwa kule Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Matendo 21Matendo 21:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Asubuhi yake tukaondoka, tukafika Kaisaria, tukaingia nyumbani mwa Filipo, mhubiri wa Injili, aliyekuwa mmoja wa wale saba, tukakaa kwake.
Shirikisha
Soma Matendo 21