Matendo 20:7
Matendo 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Jumamosi jioni tulikutana ili kumega mkate. Kwa vile Paulo alikuwa amekusudia kuondoka kesho yake, aliwahutubia watu na kuendelea kuongea nao hadi usiku wa manane.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubia, maana aliazimia kusafiri siku iliyofuata, naye akafululiza maneno yake hadi usiku wa manane.
Shirikisha
Soma Matendo 20