Matendo 20:6
Matendo 20:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sisi tukatweka baada ya siku za mikate isiyotiwa chachu, tukatoka Filipi, tukawafikia Troa, baada ya safari ya siku tano, tukakaa huko siku saba.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini sisi tukasafiri kwa njia ya bahari kwa siku tano kutoka Filipi baada ya siku za Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, nasi tukaungana na wengine huko Troa, ambako tulikaa kwa siku saba.
Shirikisha
Soma Matendo 20