Matendo 20:24
Matendo 20:24 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa ya thamani kwangu, kama kuyamaliza mashindano na kukamilisha ile kazi Bwana Yesu aliyonipa, yaani kazi ya kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.
Matendo 20:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na huduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Habari Njema ya neema ya Mungu.
Matendo 20:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, siuthamini uhai wangu kuwa kitu sana kwangu mradi tu nikamilishe ule utume wangu na ile kazi aliyonipa Bwana Yesu niifanye, yaani nishuhudie Habari Njema ya neema ya Mungu.
Matendo 20:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na huduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Habari Njema ya neema ya Mungu.
Matendo 20:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)