Matendo 2:8-9
Matendo 2:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe? Baadhi yetu ni Waparthi, Wamedi na Waelamu; wengine ni wenyeji wa Mesopotamia, Yudea, Kapadokia, Ponto na Asia
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Imekuwaje basi sisi kusikia kila mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo? Waparthi na Wamedi na Waelami, nao wakaao Mesopotamia, Yudea na Kapadokia, Ponto na Asia
Shirikisha
Soma Matendo 2