Matendo 2:43
Matendo 2:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Miujiza na maajabu mengi yalifanyika kwa njia ya mitume hata kila mtu akajawa na hofu.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume.
Shirikisha
Soma Matendo 2