Matendo 2:41-42
Matendo 2:41-42 Biblia Habari Njema (BHN)
Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao 3,000 wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo. Hawa wote waliendelea kujifunza kutoka kwa mitume, kuishi pamoja kindugu, kumega mkate na kusali.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:41-42 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu. Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
Shirikisha
Soma Matendo 2