Matendo 2:41
Matendo 2:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao 3,000 wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu.
Shirikisha
Soma Matendo 2