Matendo 2:40-41
Matendo 2:40-41 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maneno mengine mengi, Petro alisisitiza na kuwahimiza watu akisema, “Jiokoeni katika kizazi hiki kiovu.” Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao 3,000 wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:40-41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawashuhudia kwa maneno mengine mengi sana na kuwaonya, akisema, Jiokoeni na kizazi hiki chenye ukaidi. Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu.
Shirikisha
Soma Matendo 2