Matendo 2:29
Matendo 2:29 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ndugu zangu, napenda kuwaambieni waziwazi juu ya mambo yaliyompata Daudi, babu yetu. Yeye alikufa, akazikwa, tena kaburi lake liko papa hapa petu mpaka leo.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanaume, ndugu zangu, mniwie radhi, niseme kwa ujasiri mbele yenu habari za baba yetu mkuu, Daudi, ya kuwa alifariki akazikwa, na kaburi lake liko kwetu hata leo.
Shirikisha
Soma Matendo 2