Matendo 2:23
Matendo 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kufuatana na mpango wake mwenyewe Mungu alikwisha amua kwamba Yesu angetiwa mikononi mwenu; nanyi mkamuua kwa kuwaachia watu wabaya wamsulubishe.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mtu huyu alipotolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake tangu zamani, ninyi mkamsulubisha kwa mikono ya watu wabaya, mkamwua
Shirikisha
Soma Matendo 2