Matendo 2:14
Matendo 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Petro alisimama pamoja na wale kumi na mmoja akaanza kuwahutubia watu kwa sauti kubwa: “Ndugu Wayahudi nanyi nyote mnaokaa hapa Yerusalemu, sikilizeni kwa makini maneno yangu.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Petro akasimama pamoja na wale kumi na mmoja, akapaza sauti yake, akawaambia, Enyi watu wa Yudea, na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, lijueni jambo hili, mkasikilize maneno yangu.
Shirikisha
Soma Matendo 2