Matendo 2:1 - Compare All Versions
Matendo 2:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja.
Shirikisha
Matendo 2 BHNMatendo 2:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.
Shirikisha
Matendo 2 SRUVMatendo 2:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.
Shirikisha
Matendo 2 SUVMatendo 2:1 NEN (Neno)
Siku ya Pentekoste ilipowadia, waumini wote walikuwa mahali pamoja.
Shirikisha
Matendo 2 NEN