Matendo 19:40
Matendo 19:40 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana tungaliweza kushtakiwa kwa kusababisha ghasia kutokana na vituko vya leo. Ghasia hii haina msingi halali na hatungeweza kutoa sababu za kuridhisha za ghasia hiyo.”
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana tuna hatari ya kushitakiwa kwa ajili ya ghasia hizi za leo, ambazo hazina sababu; maana hakuna sababu tunayoweza kutoa kama chanzo cha ghasia hizi.
Shirikisha
Soma Matendo 19