Matendo 19:38
Matendo 19:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu yeyote, baraza ziko, na watawala wako; na washitakiane.
Shirikisha
Soma Matendo 19