Matendo 19:37
Matendo 19:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmewaita watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana mungu wetu wa kike.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mmewaleta watu hawa, wasioiba vitu vya hekalu wala kumtukana mungu mke wetu.
Shirikisha
Soma Matendo 19