Matendo 19:36
Matendo 19:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapasa kutulia; msifanye neno la haraka haraka.
Shirikisha
Soma Matendo 19