Matendo 19:29
Matendo 19:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mji wote ukajaa ghasia. Wakawavamia Gayo na Aristarko, wenyeji wa Makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake Paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mji wote ukajaa ghasia, wakaenda mbio wakaingia ukumbi wa michezo kwa pamoja, wakiisha kuwakamata Gayo na Aristarko, watu wa Makedonia waliosafiri pamoja na Paulo.
Shirikisha
Soma Matendo 19