Matendo 19:24
Matendo 19:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kulikuwa na mfua fedha mmoja aitwaye Demetrio, ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu wa kike aitwaye Artemi. Shughuli hiyo iliwapatia mafundi wake faida kubwa.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mtu mmoja, jina lake Demetrio, mfua fedha, aliyekuwa akifanya vihekalu vya fedha vya Artemi, alikuwa akiwapatia mafundi faida nyingi.
Shirikisha
Soma Matendo 19