Matendo 19:10
Matendo 19:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliendelea kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili hata wakazi wote wa Asia, Wayahudi na watu wa mataifa mengine, wakaweza kusikia neno la Bwana.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mambo haya yakaendelea kwa muda wa miaka miwili, hata wote waliokaa Asia wakalisikia neno la Bwana, Wayahudi kwa Wagiriki.
Shirikisha
Soma Matendo 19