Matendo 17:3
Matendo 17:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliyaeleza na kuonesha kwamba ilimbidi Kristo kuteswa na kufufuka kutoka kwa wafu. Akawaambia, “Yesu ambaye mimi namhubiri kwenu ndiye Kristo.”
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akiyafunua na kuwaeleza ya kwamba ilimpasa Kristo kuteswa, na kufufuka katika wafu; na ya kwamba, Yesu huyu ninayewaambia ninyi habari zake ndiye Kristo.
Shirikisha
Soma Matendo 17