Matendo 16:26
Matendo 16:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.
Shirikisha
Soma Matendo 16Matendo 16:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ghafla pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka, vifungo vya wote vikalegezwa.
Shirikisha
Soma Matendo 16