Matendo 16:1
Matendo 16:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Paulo alifika Derbe na Lustra, ambako aliishi mfuasi mmoja aitwaye Timotheo. Mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa Myahudi; lakini baba yake alikuwa Mgiriki.
Shirikisha
Soma Matendo 16Matendo 16:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi akafika Derbe na Listra, na hapo palikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, mwana wa mwanamke Myahudi aliyeamini; lakini babaye alikuwa Mgiriki.
Shirikisha
Soma Matendo 16