Matendo 13:41
Matendo 13:41 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Sikilizeni enyi wenye madharau, shangaeni mpotee! Kwa maana kitu ninachofanya sasa, nyakati zenu, ni kitu ambacho hamtakiamini hata kama mtu akiwaelezeni.’”
Shirikisha
Soma Matendo 13Matendo 13:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazameni, enyi mnaodharau, kastaajabuni, mkatoweke; kwa kuwa natenda kazi mimi siku zenu, kazi ambayo msingeisadiki kabisa, ijapo mtu akiwasimulia sana.
Shirikisha
Soma Matendo 13