Matendo 13:29-30
Matendo 13:29-30 Biblia Habari Njema (BHN)
Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa yameandikwa kumhusu yeye, walimshusha kutoka msalabani, wakamweka kaburini. Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu.
Shirikisha
Soma Matendo 13Matendo 13:29-30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata walipokwisha kumaliza yote aliyoandikiwa, wakamteremsha kutoka kwa ule mti, wakamweka kaburini. Lakini Mungu akamfufua katika wafu
Shirikisha
Soma Matendo 13