Matendo 13:26
Matendo 13:26 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ndugu, nyinyi mlio watoto wa ukoo wa Abrahamu, na wengine wote mnaomcha Mungu! Ujumbe huu wa wokovu umeletwa kwetu.
Shirikisha
Soma Matendo 13Matendo 13:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zangu, wana wa ukoo wa Abrahamu, na hao miongoni mwenu wanaomcha Mungu, kwetu sisi neno la wokovu huu limepelekwa.
Shirikisha
Soma Matendo 13