Matendo 13:2
Matendo 13:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipokuwa wanafanya ibada yao kwa Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema: “Niteulieni Barnaba na Saulo kwa ajili ya kazi niliyowaitia.”
Shirikisha
Soma Matendo 13Matendo 13:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia.
Shirikisha
Soma Matendo 13