Matendo 11:9
Matendo 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ile sauti ikasikika tena kutoka mbinguni: ‘Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa.’
Shirikisha
Soma Matendo 11Matendo 11:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauti ikanijibu mara ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najisi.
Shirikisha
Soma Matendo 11