Matendo 11:6
Matendo 11:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, wanyama watambaao na ndege wa angani.
Shirikisha
Soma Matendo 11Matendo 11:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikakitazama sana, nikifikiri, nikaona wanyama wa nchi wenye miguu minne, na wanyama wa mwituni, wale watambaao, na ndege wa angani.
Shirikisha
Soma Matendo 11