Matendo 10:5-6
Matendo 10:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Yeye yumo nyumbani kwa Simoni mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari.”
Shirikisha
Soma Matendo 10Matendo 10:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa basi, tuma watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye Petro. Yeye ni mgeni wa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi, ambaye nyumba yake iko pwani, atakuambia yakupasayo kutenda.
Shirikisha
Soma Matendo 10