Matendo 10:45
Matendo 10:45 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale Wayahudi waumini waliokuja pamoja na Petro kutoka Yopa walishangaa kuona kuwa Mungu aliwamiminia kipawa cha Roho Mtakatifu watu wa mataifa mengine pia
Shirikisha
Soma Matendo 10Matendo 10:45 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wale waliotahiriwa, walioamini, wakashangaa, watu wote waliokuja pamoja na Petro, kwa sababu Mataifa nao wamemwagiwa kipawa cha Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Matendo 10