Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:37 - Compare All Versions

Matendo 10:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Nyinyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.

Shirikisha
Matendo 10 BHN

Matendo 10:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

jambo lile ninyi mmelijua, lililoenea kote katika Yudea likianzia Galilaya, baada ya ubatizo aliouhubiri Yohana

Shirikisha
Matendo 10 SRUV

Matendo 10:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

jambo lile ninyi mmelijua, lililoenea katika Uyahudi wote likianzia Galilaya, baada ya ubatizo aliouhubiri Yohana

Shirikisha
Matendo 10 SUV

Matendo 10:37 NEN (Neno)

Mnajua yale yaliyotukia katika Yudea yote kuanzia Galilaya baada ya mahubiri ya Yohana Mbatizaji

Shirikisha
Matendo 10 NEN