Matendo 10:34 - Compare All Versions
Matendo 10:34 BHN (Biblia Habari Njema)
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.
Shirikisha
Matendo 10 BHNMatendo 10:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo
Shirikisha
Matendo 10 SRUVMatendo 10:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo
Shirikisha
Matendo 10 SUVMatendo 10:34 NEN (Neno)
Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo
Shirikisha
Matendo 10 NEN