Matendo 10:33
Matendo 10:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo nilikutumia ujumbe bila kuchelewa, nawe umefanya vyema kuja. Sasa, sisi tuko mbele ya Mungu, kusikiliza chochote ambacho Bwana amekuamuru kusema.”
Shirikisha
Soma Matendo 10Matendo 10:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara nikatuma watu kwako, nawe umefanya vyema kuja. Basi sasa sisi sote tupo hapa mbele za Mungu, tupate kuyasikiliza maneno yote uliyoamriwa na Bwana.
Shirikisha
Soma Matendo 10