Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:31-32 - Compare All Versions

Matendo 10:31-32 BHN (Biblia Habari Njema)

akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu. Mtume mtu Yopa akamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro; yuko nyumbani kwa Simoni mtengenezaji wa ngozi karibu na bahari.’

Shirikisha
Matendo 10 BHN

Matendo 10:31-32 SRUV (Swahili Revised Union Version)

akasema, Kornelio, kuomba kwako kumesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu. Basi, tuma watu kwenda Yafa, ukamwite Simoni aitwaye Petro, anakaa katika nyumba ya Simoni, mtengenezaji wa ngozi, karibu na pwani; naye akija atasema nawe.

Shirikisha
Matendo 10 SRUV

Matendo 10:31-32 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

akasema, Kornelio, kuomba kwako kumesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu. Basi, tuma watu kwenda Yafa, ukamwite Simoni aitwaye Petro, anakaa katika nyumba ya Simoni, mtengenezaji wa ngozi, karibu na pwani; naye akija atasema nawe.

Shirikisha
Matendo 10 SUV

Matendo 10:31-32 NEN (Neno)

akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na misaada yako kwa maskini imekumbukwa mbele za Mungu. Basi tuma watu waende Yafa wakaulize mtu mmoja Simoni aitwaye Petro, yeye ni mgeni katika nyumba ya Simoni mtengenezaji ngozi, ambaye nyumba yake iko kando ya bahari.’

Shirikisha
Matendo 10 NEN