Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:30 - Compare All Versions

Matendo 10:30 BHN (Biblia Habari Njema)

Kornelio akasema, “Siku tatu zilizopita saa kama hii, saa tisa alasiri, nilikuwa nikisali chumbani mwangu. Ghafla, mtu aliyekuwa amevaa mavazi yenye kungaa alisimama mbele yangu

Shirikisha
Matendo 10 BHN

Matendo 10:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kornelio akasema, Siku tatu zilizopita, katika saa ii hii, yaani saa tisa, nilikuwa nikisali nyumbani mwangu; nikamwona mtu amesimama mbele yangu, akiwa amevaa nguo zinazong'aa

Shirikisha
Matendo 10 SRUV

Matendo 10:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kornelio akasema, Siku tatu zilizopita, katika saa ii hii, yaani saa tisa, nilikuwa nikisali nyumbani mwangu; nikamwona mtu amesimama mbele yangu, mwenye nguo zing’arazo

Shirikisha
Matendo 10 SUV

Matendo 10:30 NEN (Neno)

Kornelio akajibu, “Siku nne zilizopita, nilikuwa nyumbani nikisali saa kama hii, saa tisa alasiri. Ghafula mtu aliyevaa nguo zilizongʼaa akasimama mbele yangu

Shirikisha
Matendo 10 NEN