Matendo 10:2
Matendo 10:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Yeye na jamaa yake yote walikuwa wacha Mungu; alitoa kwa ukarimu kwa wale walio na mahitaji na kumwomba Mungu mara kwa mara.
Shirikisha
Soma Matendo 10Matendo 10:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa Kiyahudi na alikuwa anasali daima.

Soma Matendo 10Matendo 10:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mtu mtauwa, mchaji wa Mungu, yeye na nyumba yake yote, naye alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu daima.
Shirikisha
Soma Matendo 10