Matendo 1:6
Matendo 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mitume walipokutana pamoja na Yesu, walimwuliza, “Je, Bwana, wakati huu ndipo utakaporudisha ule ufalme kwa Israeli?”
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme?
Shirikisha
Soma Matendo 1