Matendo 1:5
Matendo 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwani Yohane alibatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache, nyinyi mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu.”
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache.
Shirikisha
Soma Matendo 1