Matendo 1:4
Matendo 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati alipokutana pamoja nao aliwaamuru hivi: “Msiondoke Yerusalemu, bali ngojeni ile zawadi aliyoahidi Baba, ambayo mlikwisha nisikia nikiongea juu yake.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kutoka kwangu
Shirikisha
Soma Matendo 1