Matendo 1:3
Matendo 1:3 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Baada ya mateso yake, alijionesha kwao na kuwathibitishia kwa njia nyingi kwamba yeye yu hai. Katika muda wa siku arobaini baada ya kufufuka kwake aliwatokea na kunena kuhusu ufalme wa Mungu.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa muda wa siku arubaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. Walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa Mungu.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wale aliojidhihirisha kwao kuwa yu hai, kwa dalili nyingi, baada ya kuteswa kwake, akiwatokea muda wa siku arubaini, na kuyanena mambo yaliyouhusu ufalme wa Mungu.
Shirikisha
Soma Matendo 1