Matendo 1:24
Matendo 1:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha wakaomba, wakasema, Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, tuonyeshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha wakasali: “Bwana, wewe unaijua mioyo ya watu wote. Hivyo, utuoneshe ni yupi kati ya hawa wawili uliyemchagua
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha wakaomba, wakasema, Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, tuoneshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili
Shirikisha
Soma Matendo 1