Matendo 1:11
Matendo 1:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wakasema, Enyi watu wa Galilaya, mbona mmesimama mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
wakasema, “Enyi wananchi wa Galilaya! Mbona mnasimama mkitazama angani? Yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mlivyomwona akienda mbinguni.”
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakasema, Enyi watu wa Galilaya, mbona mmesimama mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni.
Shirikisha
Soma Matendo 1