2 Timotheo 4:9-10
2 Timotheo 4:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Fanya bidii kuja kwangu karibuni. Dema ameupenda ulimwengu huu akaniacha na kwenda zake Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia, na Tito amekwenda Dalmatia.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 42 Timotheo 4:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitahidi uwezavyo kuja kwangu upesi. Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda Thesalonike; Kreske amekwenda Galatia; Tito amekwenda Dalmatia.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 4