2 Timotheo 4:6
2 Timotheo 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 42 Timotheo 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana, mimi sasa namiminwa kama tambiko, na wakati wa kuondoka kwangu umefika.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 4