2 Timotheo 4:3
2 Timotheo 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mafundisho ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia waalimu tele watakaowaambia mambo yale tu ambayo masikio yao yako tayari kusikia.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 42 Timotheo 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajikusanyia waalimu wengi, watakaowaambia yale tu masikio yao yanataka kusikia
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 4