2 Timotheo 3:14
2 Timotheo 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe dumu katika ukweli ule uliofundishwa ukaukubali kabisa. Wawajua wale waliokuwa waalimu wako
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 32 Timotheo 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali wewe ukae katika mambo yale uliyofundishwa na kuhakikishwa, kwa maana unajua ni akina nani ambao ulijifunza kwao
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 3