2 Timotheo 2:5
2 Timotheo 2:5 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Vivyo hivyo, mwanariadha hawezi kupewa tuzo ya ushindi asiposhindana kulingana na kanuni za mashindano.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanariadha yeyote hawezi kushinda na kupata zawadi ya ushindi kama asipozitii sheria za michezo.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata mwanariadha hapewi taji, asiposhindana kwa kufuata sheria.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2